Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu, Bi. Hadija Kabojela, anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wote wenye sifa za kufanya kazi, amnao pia ni wakazi wa ushetu, kuomba nafasi za kazi ya
mwenyekiti wa Bodi ya Ajira kwa kipindi cha miaka mitano (5)
kwa maelezo zaidi, soma hapa https://www.ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/696/73c/0fc/69673c0fcf143691708731.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0767639345
Simu ya kiganjani: 0767639345
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa