• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ushetu District Council
Ushetu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Maadili ya msingi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Strategic Plan
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Biashara na Fedha
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Takwimu,Mipango na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Land and Livestocks
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknoloji Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
    • Muundo wa halmashauri
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma
    • Bima ya Afya
    • Mitambo ya kutengenezea Barabara
    • Loan Services
    • Huduma za Afya
    • Education Services
    • Water Services
    • Huduma za Kilimo
    • Livestock Keeping Services
    • Huduma za Uvuvi
    • Human Resources Services
    • Huduma za Leseni za Biashara
    • Land Services
    • Forest Services
  • Madiwani
  • Miradi
    • Uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za maombi
    • Zabuni
    • Miongozo
    • Hotuba
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Uhifadhi wa picha
    • Video
    • Habari
    • Matukio

Historia

WENYEJI
Wenyeji  wa Halmashauri ya wilaya ya Ushetu ni wa Makabila ya  Wasukuma, Wasumbwa na Wanyamwezi. makabila mengine ni kama Waha, Wahangaza na WanyamwezI

MAHALI ILIPO

Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu ni Halmashauri iliyoanzishwa  tarehe   23/11/2012 kupitia tangazo la  serikali GN 362/2012  kufuatia uamuzi wa serikali wa kuleta huduma karibu wananchi. Hii ni kutokana na kugawanyika kwa Halmashauri ya wilaya ya Kahama katika     Halmashauri 3 ambazo ni Halmashauri ya mji wa kahama,  Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu na Halmashauri ya Wilaya ya Msalala.

Halmashauri ipo kaskazini magharibi (kusini mwa ziwa Victoria). Halmashauri ipo kati ya nyuzi za Latitudi 3015° na 4030° kusini mwa mstari wa  Ikweta na Longitudi 31030° na 33000° kusini mwa mstari wa Griniwichi. Halmashauri imepakana kwa upande wa mashariki na Halmashauri za Kahama mji na Halmashauri ya nzega.kwa upande wa kaskazini imepakana na Halmashauri ya Msalala. Kwa upande wa magharibi imepakana na Halmashauri ya  mbogwe na kwa upande wa kusini imepakana na wilaya ya Tabora  

Eneo la kijeografia la Halmashauri ya Wilaya ya ushetu.


UKUAJI NA ONGEZEKO LA WATU

Kulingana na sensa ya idadi ya watu  na makazi ya mwaka 2012 , Halmashauri ina jumla  idadi ya watu 273,075 (138,846 kike; 134229 kiume), hata hivyo  kundi la watu wenye nguvu kazi  kwa ajili ya kufanya kazi  na kusaidia  kuinua uchumi wa nchi ni wakazi wapatao 183,411. kundi lwa watu ambao ni tegemezi ni jumla ya idadi ya wakazi wapatao  89,892 ; hii ni pamoja na wazee na watoto.

WASTANI WA PATO LA MWANANCHI
 wastani wa Kipato cha kila mkazi wa Halmashauri ni takriban shilingi 530,000 / = (Hii ni sawa na shilingi 1,452 / = kwa kila Mkazi  kwa siku) kutokana na sensa ya taifa ya watu na makazi ya mwaka 2012. kasi ya ukuaji huu unatokana na  ukuaji wa  kata za  Ulowa, Ushetu na Bulungwa ambazo hushughulika na  na shughuli za kilimo kama vile, pamba tumbaku na uzalishaji wa mazao ya  chakula


SHUGHULI ZA  KISIASA

 Halmashauri ya   Wilaya ya Ushetu ina ina jimbo 1 la uwakilishi wa Wananchi.  Halmashauri ina kata 20 za uwakilishi. na Mbunge   mmoja wa kuchaguliwa . Madiwani wa kuteuliwa kwa viti maalumu vya wanawake ni 7 hivyo kufanya jumla ya Madiwani 27 na   Mbunge 1.


Eneo na idadi ya watu kwa kata

Tarafa

 Kata
Eneo
hekta
Idadi ya watu ( Sensa of 2012)
Household
Males
Females
Total
Dakama
1
Chona
19,250.70
2971
8882
9599
18481

2
Chambo
23,162.20
2370
7084
7432
14516

3
Ukune
10,135.00
2243
5693
6024
11717

4
Mpunze
7,982.40
1573
4576
4762
9338

5
Igunda
6,068.70
1235
3182
3415
6597

6
Mapamba
8,567.00
960
3072
3201
6273

7
Kisuke
4342.12
1042
2288
2412
4700

8
Kinamapula
8,245.00
2105
6149
6546
12695

9
Bukomela
9,833.00
978
3220
3272
6492

10
Sabasabini
9,208.20
1794
5702
5861
11563

11
Idahina
35,601.30
3502
11912
12025
23937

12
Igwamanoni
20,994.40
2076
7245
7656
14901
Mweli
13
Uyogo
19,434.10
2315
7407
7884
15291

14
Ulowa
37,226.60
3282
9780
9450
19230

15
Ushetu
29,875.80
2708
8728
8810
17538

16
Ubagwe
18,456.00
2535
8362
8212
16574

17
Bulungwa
31,345.00
3941
12090
12552
24642

18
Nyankende
27,215.00
2208
7113
7402
14515

19
Ulewe
101,028.00
2832
8875
9433
18308

20
Nyamilangano
4,700.82
1,202
2780
2987
5697
                     Jumla
847,694.20
43,503
134229
138846
273075


 JIOGRAFIA:  HALI YA HEWA NA   UOTO WA ASILI
MVUA
kwa ujumla  kuna mvua zisizo za uhakika. Hata hivyo,  mvua za masika  hotofautiana Msimu kwa msimu, wastani wa mvua ni  kati ya 750mm  na 1,030 mm kwa mwaka. mvua hudumu kwa kunyesha  takribani miezi mitano (5) kwa mwaka,  kutoka mwishoni mwa mwezi Oktoba hadi Mei  na huwa nyingi kwa kipindi cha wiki mbili hadi mwezi mmoja kati ya  Kipindi cha mwezi januari hadi febuari katika mwaka.


JOTO
joto huwa kiasi kwa kipindi cha mwaka mzima;  wastani wa joto  kila siku huwa ni  kuanzia ° 21-26 ° C, Miezi ya  Agosti na Septemba ndio  miezi ya joto la juu kiasi. na hupungua baada ya kipindi hicho,Wastani wa joto kaatika sehemu zote za Wilaya hufanana.

HALI YA UNYEVU UNYEVU
Unyevu unyevu ni   wastani wa 79% kwa mwaka.  pamoja na tofauti ndogo katika mwaka huo; wakati wa msimu wa mvua kiwango huwa  ni kati ya 80% na 85% na chini wakati wa kiangazi. kila mwezi   spidi kasi  ya upepo  inaonekana kuwa  tofauti  kidogo- wastani wa spidi ya  0.9m  kwa saa, wakati wa msimu wa mvua upepo hupungua kasi kuliko kipindi cha kiangazi.  mara kwa mara kutokea kuhusishwa na rainstorms, hasa wakati wa msimu  wa mvua









                  

                    



Matangazo

  • Matokeo ya usajili wa Madereva. October 03, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Angalia yote

Habari mpya

  • USHETU KUANZA KUTEKELEZA MRADI WA REA NGAZI YA VITONGOJI 151.

    May 08, 2025
  • Habari Picha: Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu wakumbushwa kuhusu Maadili katika utumishi wa Umma

    May 07, 2025
  • Tume ya Maadili kwa watumishi wa Umma wafanya kikao na watumishi wa makao makuu Halmashauri ya Ushetu

    May 05, 2025
  • Tangazo la uuzaji Viwanja vya Makazi na Viwanda vidogo.

    April 16, 2025
  • Angalia yote

Video

Kilimo cha Korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Video

Viunganishi vya haraka

  • Kanuni za Utumishi wa Umma
  • Ufafanuzi wa Serikali juu ya Kukosekana kwa Mawasiliano ya simu katika Halmashauri
  • Facebook
  • Ramani ya Halmashauri

Viunganishi Mfanano

  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Ajira serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Halmashauri

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

    Anuani: S. L. P 50 Kahama

    Simu: 0759888848

    Simu ya kiganjani: 0759888848

    Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa