Idara ya Afya
Halmashauri imeweza kuboresha huduma za afya kwa kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata huduma za afya za msingi ikiwa ni sambamba na:
• Halmashauri kuanzisha huduma ya upasuaji katika Vituo viwili vya Afya ambavyo ni Bulungwa na Ushetu, na hivyo kupunguza vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.
• Halmashauri pia imefanikiwa kufungua vituo vya kutolea huduma ambavyo ni Zahanati ya Nyankende na Mwabomba, Ihapula na Bunanda. Hivyo vituo vya kutolea huduma za afya vimeongezeka kutoka zahanati 16 mwaka 2013 hadi kufikia zahanati 20 Februari 2017. Halmashauri imefanikiwa kujenga na kumalizia wodi ya kina mama katika Kata ya Uyogo
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa