• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ushetu District Council
Ushetu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Maadili ya msingi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Strategic Plan
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Biashara na Fedha
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Takwimu,Mipango na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Land and Livestocks
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknoloji Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
    • Muundo wa halmashauri
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma
    • Bima ya Afya
    • Mitambo ya kutengenezea Barabara
    • Loan Services
    • Huduma za Afya
    • Education Services
    • Water Services
    • Huduma za Kilimo
    • Livestock Keeping Services
    • Huduma za Uvuvi
    • Human Resources Services
    • Huduma za Leseni za Biashara
    • Land Services
    • Forest Services
  • Madiwani
  • Miradi
    • Uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za maombi
    • Zabuni
    • Miongozo
    • Hotuba
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Uhifadhi wa picha
    • Video
    • Habari
    • Matukio

PROF. SIZA TUMBO AKABIDHI OFISI KWA KATIBU TAWALA MKOA WA SHINYANGA CP. SALUM HAMDUNI

Ilipo tumwa: August 22nd, 2024

Na. Emmanuel Shomary,

Ushetu DC.




ALIYEKUWA KATIBU Tawala Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza D. Tumbo akabidhi ofisi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Rashid Hamduni ambaye ameteuliwa hivi karibuni na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan huku akiwaomba watumishi wote, wadau na wananchi wote Mkoa wa Shinyanga kumpatia ushirikiano RAS Hamduni kama ambavyo walikuwa wakimpatia  yeye ili aweze kutimiza majukumu yake kikamilifu.

Haya yamesemwa na leo tarehe 22 Agosti, 2024 wakati akikabidhi ofisi kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Julius Mtatiro (Wakili).

Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude, Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita, Kamati za Usalama, viongozi wa Chama Cha Mapinduzu, Wakuu wa Taasisi za Serikali na zisizo za Serikali, viongozi wa Kimila, Kamati ya Maridhiano, viongozi wa wachimbaji wa madini, wadau wa maendeleo na watumishi wote.

"Nichukue nafasi hii kuwashukuru nyote kwa ushirikiano wenu mlionipatia wakati wote katika kutekeleza majukumu yangu, na sasa niwaombe rasmi ushirikiano huo huo muendeleze kumpatia RAS CP. Hamduni ili aweze kutekeleza vema wajibu na majukumu yake hapa mkoani Shinyanga," amesema Prof. Siza Tumbo.

Kwa upande wake CP. Hamduni amemshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kumuwezesha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga na kwamba amekuja kuwatumikia Wanashinyanga kama Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga na siyo katika nyadhifa nyinginezo huku akiwaomba ushirikiano wakati wote ili aweze kutekeleza majukumu yake.

Kipekee, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amempongeza sana Prof. Siza Tumbo kwa kazi nzuri na njema sana aliyoifanya hapa Mkoa wa Shinyanga, amekuwa Mwalimu wakati wote wa utumishi wake kwa watumishi wengine wote akiwemo yeye mwenyewe RC Macha.

Makabidhiano haya yanafanyika kufuatia mabadiliko ya aliyekuwe RAS Shinyanga ambaye amerejeshwa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA)

Matangazo

  • Matokeo ya usajili wa Madereva. October 03, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Angalia yote

Habari mpya

  • RC MACHA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI YA MWENGE HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 2024/2025

    May 20, 2025
  • USHETU KUANZA KUTEKELEZA MRADI WA REA NGAZI YA VITONGOJI 151.

    May 08, 2025
  • Habari Picha: Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu wakumbushwa kuhusu Maadili katika utumishi wa Umma

    May 07, 2025
  • Tume ya Maadili kwa watumishi wa Umma wafanya kikao na watumishi wa makao makuu Halmashauri ya Ushetu

    May 05, 2025
  • Angalia yote

Video

Kilimo cha Korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Video

Viunganishi vya haraka

  • Kanuni za Utumishi wa Umma
  • Ufafanuzi wa Serikali juu ya Kukosekana kwa Mawasiliano ya simu katika Halmashauri
  • Facebook
  • Ramani ya Halmashauri

Viunganishi Mfanano

  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Ajira serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Halmashauri

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

    Anuani: S. L. P 50 Kahama

    Simu: 0759888848

    Simu ya kiganjani: 0759888848

    Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa