Wananchi katika Halmashauri ya wilaya ya Ushetu wamenufaika na mradi wa KIZAZI KIPYA uliokuwa ukitekelezwa kuanzia mwaka 2018 chini ya watu wa marekani kupitia mashirika ya USAID na PEPFAR. Baadhi ya huduma zilizotolewa kwa wanufaika ni pamoja na huduma za AFYA, ELIMU, uwezeshwaji KIUCHUMI na upingaji ukatili na jinsia.
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa