Afisa mwandikishaji wa Jimbo la Ushetu, anapenda kuwatangazia wale wote waliomba kazi ya muda ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la
mpiga kura, kuwa Usaili kwa jimbo la Ushetu utafanyika tarehe 5 na 6 Agosti 2024.
kwa taarifa zaidi bofya hapa https://www.ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/66a/c7f/10c/66ac7f10c26ea629050601.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa