Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu, anawataarifu waombaji wote waliomba nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa bodi ya ajira, na kukidhi vigezo, wafike kwa ajili ya usaili tarehe 06 Feb,2026.
kwa taarifa zaidi soma hapa https://www.ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/697/c4c/5ec/697c4c5ec7795947733177.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0767639345
Simu ya kiganjani: 0767639345
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa