Mwenyekiti wa Kamati ya Mitambo Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu Ndg. Juma Ngogo kwa niaba ya Kamati anapenda Kuutangazia Umma zikiwemo taasisi za serikali, Mashirika na Watu binafsi kuwa Halmashauri kwa sasa inakodisha Mitambo ya Kutengeneza barabara kwa bei nafuu sana. Vile vile Mitambo Halmashauri ina uwezo wa Kusafirisha Mitambo hiyo hadi sehemu husika kwa kuwa ina Magari maalum ya Kubebea Mitambo hiyo.
Kwa Mawasiliano:
+255755711023/+2557625882
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa