Kufuatia Tangazo la Ajira lenye Kumb. Na. UDC/L.40/08/11 la tarehe 17 Agosti, 2020, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, anapenda kuwaarifu waombaji wote waliomba na kukidhi Vigezo, kufika kwenye usaili tarehe 28 na 29 Septemba 2020,
saa 3:00 asubuhi.
Kwa maelezo zaidi, bonyeza hapa TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - USHETU DC.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: +255282710110
Simu ya kiganjani: +255757625882
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa