Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wote wenye sifa za kuajiliwa katika utumishi wa Umma.
Nafasi hizo ni Mtendaji wa kijiji daraja la lll, Dereva daraja la II, na Msaidizi wa Hesabu daraja la II.
Kwa taarifa zaidi bofya hapa https://www.ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/623/332/6e3/6233326e343cc570103801.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa