Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, anapenda kuwatangazia Wananchi wote juu ya uuzaji wa viwanja kwa ajili ya makazi na uwekezaji wa viwanda vidogo.
Kwa taarifa zaidi, bonyeza hapa https://www.ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/680/877/f92/680877f92e873375096572.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa