Serikali pamoja na wadau mabalimbali wa maendeleo zikiwemo Taasisi za dini wameendelea kuboresha huduma za maji katika Halmashauri ya Ushetu. Pichani Wanafunzi wa shule ya sekondari- Ushetu wakifurahia kupata huduma ya maji ambayo itapunguza kero iliyokua ikiwakabili.
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: +255282710110
Simu ya kiganjani: +255757625882
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa