Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ushetu, Anapenda kuwatangazia wale wote waliomba kazi kuwa, Usaili utafanyika kuanzia tarehe 02/10/2024 hadi tarehe 07/10/2024.
Kwa taarifa zaidi bonyeza hapa https://www.ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/66f/64f/7ad/66f64f7ad9fde591632733.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa