TAARIFA KWA UMMA.
KUKANUSHA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI.
Kumekuwepo na taarifa za uongo na upotoshaji zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya habari isiyo rasmi kuwa walimu wapya 61 walioajiliwa katika Halmashauri ya Ushetu, Walalamika kuibiwa Tsh 300,000 kila mmoja,
Kujua undani wa taarifa hiyo bomyeza hapa https://ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/637/db9/c99/637db9c99524b268062038.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa