• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ushetu District Council
Ushetu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Maadili ya msingi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Strategic Plan
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Biashara na Fedha
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Takwimu,Mipango na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Land and Livestocks
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknoloji Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
    • Muundo wa halmashauri
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma
    • Bima ya Afya
    • Mitambo ya kutengenezea Barabara
    • Loan Services
    • Huduma za Afya
    • Education Services
    • Water Services
    • Huduma za Kilimo
    • Livestock Keeping Services
    • Huduma za Uvuvi
    • Human Resources Services
    • Huduma za Leseni za Biashara
    • Land Services
    • Forest Services
  • Madiwani
  • Miradi
    • Uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za maombi
    • Zabuni
    • Miongozo
    • Hotuba
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Uhifadhi wa picha
    • Video
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI KUIMARISHA MAWASILIANO YA SIMU USHETU.

Ilipo tumwa: July 22nd, 2024

SERIKALI KUIMARISHA MAWASILIANO YA SIMU USHETU.

Na. Emmanuel Shomary,

Ushetu DC,

20 Julai, 2024.

USHETU, ⁷Kahama-Shinyanga.

SERIKALI imesema itaendelea kuboresha huduma za Mawasiliano hasa katika maeneo ya vijijini ili kufungua njia za Mawasiliono ya Simu pamoja na kuchochea shughuli za maendeleo kwa Wananchi.

Kauli hiyo imetolewa leo tarehe Julai 19, 2024, na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nauye (MB), alipotembelea kiijiji cha Ngokolo kilichopo Kata ya Bukomela Halmashauri ya Ushetu Mkoani Shinyanga, wakati akikagua ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano ya simu, ambapo amesema kuwa Serikali ipo kazini kuhakikisha Wananchi wanakuwa na mazingira bora ya mawasiliano.

Awali, Mbunge wa Ushetu Emmanuel Cherehani, amepongeza jitihada za Serikali kwa kuipatia Halmashauri hiyo kujengewa minara ya mawasiliano 7, ambapo minara 4 kati ya hiyo imekamilika huku akiomba Serikali kuongeza mingine ili kuwafikia Wananchi wa maeneo yote ya Ushetu.

Aidha, wananchi wa Kata ya Bukomela kwa nyakati tofauti wakizungumza, wameishukuru Serikali kupitia mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF)kwa kujengewa minara hiyo ambapo awali walikuwa wakitembea umbali mrefu kutafuta wasiliano kwa kupanda milimani kwenye mawe na wengine juu ya miti.

Serikali imeendelea kushirikianna na Sekta binafsi za Mawasiliano kwa kutoa ruzuku katika ujenzi wa minara ya mawasiliano kupitia mfuko wa mawasiliano kwa wote.

Matangazo

  • Matokeo ya usajili wa Madereva. October 03, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Angalia yote

Habari mpya

  • USHETU KUANZA KUTEKELEZA MRADI WA REA NGAZI YA VITONGOJI 151.

    May 08, 2025
  • Habari Picha: Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu wakumbushwa kuhusu Maadili katika utumishi wa Umma

    May 07, 2025
  • Tume ya Maadili kwa watumishi wa Umma wafanya kikao na watumishi wa makao makuu Halmashauri ya Ushetu

    May 05, 2025
  • Tangazo la uuzaji Viwanja vya Makazi na Viwanda vidogo.

    April 16, 2025
  • Angalia yote

Video

Kilimo cha Korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Video

Viunganishi vya haraka

  • Kanuni za Utumishi wa Umma
  • Ufafanuzi wa Serikali juu ya Kukosekana kwa Mawasiliano ya simu katika Halmashauri
  • Facebook
  • Ramani ya Halmashauri

Viunganishi Mfanano

  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Ajira serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Halmashauri

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

    Anuani: S. L. P 50 Kahama

    Simu: 0759888848

    Simu ya kiganjani: 0759888848

    Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa