• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ushetu District Council
Ushetu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Maadili ya msingi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Strategic Plan
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Biashara na Fedha
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Takwimu,Mipango na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Land and Livestocks
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknoloji Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
    • Muundo wa halmashauri
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma
    • Bima ya Afya
    • Mitambo ya kutengenezea Barabara
    • Loan Services
    • Huduma za Afya
    • Education Services
    • Water Services
    • Huduma za Kilimo
    • Livestock Keeping Services
    • Huduma za Uvuvi
    • Human Resources Services
    • Huduma za Leseni za Biashara
    • Land Services
    • Forest Services
  • Madiwani
  • Miradi
    • Uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za maombi
    • Zabuni
    • Miongozo
    • Hotuba
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Uhifadhi wa picha
    • Video
    • Habari
    • Matukio

RC MACHA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI YA MWENGE HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 2024/2025

Ilipo tumwa: May 20th, 2025


Na. Emmanuel Shomary,

Ushetu DC,

Mei 20, 2025.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha, amefanya ziara ya kikazi kukagua maendeleo ya miradi itakayopitiwa na mbio za Mwenge wa Uhuru 2024/2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu.

Ziara hiyo imefanyika leo Mei 20, 2025, ambapo jumla ya miradi saba (7), itakayopitiwa na mbio za mwenge wa Uhuru 2024/2025 yote ilifikiwa na ziara hiyo ya Mkuu wa Mkoa na kufanyiwa tathimini.

Miradi hiyo ya maendeleo inayotazamiwa kugharimu kiasi cha fedha Tsh. 3.34 bilioni ni pamoja na:

  • Ujenzi wa shule ya Msingi Igwamanoni uliopo kata ya Igwamanoni,
  • Ujenzi wa mashine ya kuchakata mazao (mahindi na mpunga) uliopo kata ya Bulungwa,
  • Klabu ya Wapinga rushwa kutoka sekondari ya Bulungwa,
  • Ujenzi wa Wodi ya kawaida ya Wanawake, kituo cha afya Bulungwa,
  • Ujenzi wa tenki na Mtandao wa Maji, Kata ya Bukomela na
  • Ujenzi wa shule mpya ya Amali (Ufundi) uliopo kata ya Nyamilangano.

Akizungumza katika ziara hiyo, RC Macha amepongeza juhudi na maendeleo ya miradi hiyo ambayo kwa kiasi kikubwa imefikia hatua nzuri ya Ukamilishaji.

“Nawapongeza kwa kweli kwa juhudi mnaonesha, mpaka hatua mliofikia ninaimani mtakamilisha ndani ya muda muafaka na hapatakuwa na zile kazi za zimamoto, mimi na timu yangu tutaendelea kufuatilia ujenzi wa miradi hii mpaka hatua ya mwisho” alisema RC Macha.

Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa Halmashauri ya Ushetu Augosti 4, 2025 katika viwanja vya shule ya Msingi Iramba kata ya Igwamanoni, Ukitokea Halmashauri ya Mji wa Kahama.

Matangazo

  • Matokeo ya usajili wa Madereva. October 03, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Angalia yote

Habari mpya

  • RC MACHA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI YA MWENGE HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 2024/2025

    May 20, 2025
  • USHETU KUANZA KUTEKELEZA MRADI WA REA NGAZI YA VITONGOJI 151.

    May 08, 2025
  • Habari Picha: Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu wakumbushwa kuhusu Maadili katika utumishi wa Umma

    May 07, 2025
  • Tume ya Maadili kwa watumishi wa Umma wafanya kikao na watumishi wa makao makuu Halmashauri ya Ushetu

    May 05, 2025
  • Angalia yote

Video

Kilimo cha Korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Video

Viunganishi vya haraka

  • Kanuni za Utumishi wa Umma
  • Ufafanuzi wa Serikali juu ya Kukosekana kwa Mawasiliano ya simu katika Halmashauri
  • Facebook
  • Ramani ya Halmashauri

Viunganishi Mfanano

  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Ajira serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Halmashauri

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

    Anuani: S. L. P 50 Kahama

    Simu: 0759888848

    Simu ya kiganjani: 0759888848

    Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa