• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ushetu District Council
Ushetu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Maadili ya msingi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Strategic Plan
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Biashara na Fedha
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Takwimu,Mipango na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Land and Livestocks
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknoloji Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
    • Muundo wa halmashauri
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma
    • Bima ya Afya
    • Mitambo ya kutengenezea Barabara
    • Loan Services
    • Huduma za Afya
    • Education Services
    • Water Services
    • Huduma za Kilimo
    • Livestock Keeping Services
    • Huduma za Uvuvi
    • Human Resources Services
    • Huduma za Leseni za Biashara
    • Land Services
    • Forest Services
  • Madiwani
  • Miradi
    • Uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za maombi
    • Zabuni
    • Miongozo
    • Hotuba
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Uhifadhi wa picha
    • Video
    • Habari
    • Matukio

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MHE. SAGINI KIRIGINI (MB), AMEAHIDI KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA WA WANANCHI WA HALIMASHAURI YA USHETU.

Ilipo tumwa: July 12th, 2023

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MHE. SAGINI KIRIGINI (MB), AMEAHIDI KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA WA WANANCHI WA HALIMASHAURI YA USHETU.

Na Ushetu DC, Kahama.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Sagini Kirigini (Mb),  Ameahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa Wananchi wa Halimashauri ya Ushetu ikiwemo Ujenzi wa kituo kikubwa cha polisi na Ununuzi wa magari na Pikipiki za Doria Ili kuboresha utendaji kazi kwa askari katika kutimiza majukumu yao ya kila siku

Ameyabainisha hayo July 12, 2023 katika mkutano wa hadhara ulifanyika kata ya Nyamilangano Halimashauri ya Ushetu Wilayani kahama Mkoani Shinyanga kupitia ziara yake ya kukagua vituo vya polisi na kuzungumza na Wananchi inayolenga kuimarisha usalama wa Wananchi na Mali zao.

Hata hivyo, Mhe. Kiringini amewataka Wananchi kushirikiana na majeshi ya sungusungu kuhakikisha wanaimarisha suala la ulinzi wa Wananchi kwa kuwa askari pekee hawawezi kutatua changamoto hizo bila ushirikiano wa wananchi.

" Ndugu zangu niwaombe sana endeleeni kushirikiana na sungusungu Ili kuhakikisha maeneo yenu na Mali zenu zinakuwa salama, jeshi la polisi linaaskari wachache ambao hawawezi kuenea kila sehemu, muhimu ni  kuwapa ushirikiano wakutosha Ili tuweze kutokomeza uhalifu" Alisema Kiringini.

Awali akizungumza kwenye mkutano huo Mbunge wa jumbo hilo Mh Emmanuel Cherehani, Alielezea changamoto zinazowakabiri askari hao ikiwa ni pamoja na ukubwa wa eneo la kiutawala na jiographia yake na kusisitiza Wizara ifanye haraka katika kuwasaidia Wananchi kwenye masuala ya ulinzi na usalama.

"Mheshimiwa Naibu Waziri kama nilivyokuomba tukiwa bungeni ufike jimboni kwangu ujionee hali ndiyo kama ulivyoona askari wako wanapata taabu sana kufika kwenye maeneo yote, Jimbo ni kubwa na Kata ziko mbalimbali, askari hawa hawana usafiri, na hatuna jengo la kituo cha polisi na hapa tulipo Nyamilangano ndiyo makao makuu ya Halmashauri, nikuombe tu tena kupitia Wizara yako mtusaidie kwa haraka Ili Wananchi hawa wapiga kura wa Samia waweze kuishi kwa amani wakilindwa na polisi wetu" Alisema Cherehani.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi. Hadija Mohamed Kabojela, Alisema Halmashauri iko salama na wanaendelea kuhudumia wananchi kama ilani ya chama cha mapinduzi inavyoekeleza.

Naye Diwani wa kata ya Nyamilangano Mhe. Robert Mihayo amesema kata iko salama na wananchi wanaoendelea na majukumu yao yakila siku ya kujitafutia kipato.

Matangazo

  • Matokeo ya usajili wa Madereva. October 03, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Angalia yote

Habari mpya

  • USHETU KUANZA KUTEKELEZA MRADI WA REA NGAZI YA VITONGOJI 151.

    May 08, 2025
  • Habari Picha: Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu wakumbushwa kuhusu Maadili katika utumishi wa Umma

    May 07, 2025
  • Tume ya Maadili kwa watumishi wa Umma wafanya kikao na watumishi wa makao makuu Halmashauri ya Ushetu

    May 05, 2025
  • Tangazo la uuzaji Viwanja vya Makazi na Viwanda vidogo.

    April 16, 2025
  • Angalia yote

Video

Kilimo cha Korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Video

Viunganishi vya haraka

  • Kanuni za Utumishi wa Umma
  • Ufafanuzi wa Serikali juu ya Kukosekana kwa Mawasiliano ya simu katika Halmashauri
  • Facebook
  • Ramani ya Halmashauri

Viunganishi Mfanano

  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Ajira serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Halmashauri

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

    Anuani: S. L. P 50 Kahama

    Simu: 0759888848

    Simu ya kiganjani: 0759888848

    Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa