• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ushetu District Council
Ushetu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Maadili ya msingi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Strategic Plan
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Biashara na Fedha
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Takwimu,Mipango na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Land and Livestocks
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknoloji Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
    • Muundo wa halmashauri
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma
    • Bima ya Afya
    • Mitambo ya kutengenezea Barabara
    • Loan Services
    • Huduma za Afya
    • Education Services
    • Water Services
    • Huduma za Kilimo
    • Livestock Keeping Services
    • Huduma za Uvuvi
    • Human Resources Services
    • Huduma za Leseni za Biashara
    • Land Services
    • Forest Services
  • Madiwani
  • Miradi
    • Uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za maombi
    • Zabuni
    • Miongozo
    • Hotuba
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Uhifadhi wa picha
    • Video
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mh. Sophia Mjema azungumza na Wananchi wa Ushetu kuhusu Kupanda kwa bei za Bidhaa.

Ilipo tumwa: June 18th, 2022

Na Shomary Emmanuel.

Ushetu-kahama, Shinyanga.

June 17, 2022.

Mkuu wa  Mkoa wa Shinyanga, Mh. Sophia Mjema  ameongea na Wananchi wa Halmashauri ya Ushetu juu ya Kupanda bei kwa bidhaa mbalimbali, hasa bidhaa za mafuta.

Katika kikao hicho na Wananchi wa Ushetu, kilichofanyika leo Ijumaa, Juni 17,2022 kuanzia saa 9 alasili, katika viwanja vya Stendi ya Magari ya Nyamilangano, Makao makuu ya Halmashauri hiyo, Mheshimiwa Mjema, ameawataka Wananchi kuepuka kudanganywa na watu wenye nia ovu wanaolenga kuwagombanisha Wananchi na Serikali yao pendwa. 

“Leo ndungu zangu nimekuja kusema na ninyi, juu ya kwanini vitu vimepanda bei, Ukweli ni kwamba, Uwepo wa Vita kati ya Urusi na Ukraine, umesababisha upungufu mkubwa sana wa Gesi na Ngano katika Nchi nyingi za Ulaya, kwani Urusi ndiye mzalishaji mkubwa wa Gesi, na Ukraine ndiye mzalishaji wa Ngano, hivyo kupigana kwa Mataifa hayo, kumepelekea upungufu mkubwa  wa bidhaa hizo muhimu kwa Dunia nzima. Lakini  pia msisahau kuwa uwepo wa UVIKO-19, wenzetu  walijifungia kabisa, hivyo wenzetu walikuwa hawazalishi chochote, yote hayo yemepelekea uchumi kuyumba kwa Dunia nzima, hivyo wote wanaoisema vibaya Serikali ya Awamu ya Sita, Wapuuzeni tu”

Katika hatua nyingine, Mhe. Mjema, amewataka wananchi hao kuendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali ya Mama Samia Suruhu Hassan, kwani Mpaka sasa Serikali imetoa ruzuku ya Bilioni 100 kwenye Mafuta, ili kuzuia upandaji bei wa bidhaa hiyo.

“Ndugu zangu, Serikali ya Mama imetoa Ruzuku ya Bilioni 100 kwenye mafuta, na itaendelea kutoa hiyo Ruzuku kila mwezi, ili kukabiliana na kupanda bei kwa mafuta, na hivyo tutegemee mafuta kushuka bei kadri siku zinzvyokwenda.

Lakin pia ndugu zangu, Msisahau kuwa sasa hivi, watoto wetu wanasoma kuanzia Elimu ya Awali hadi Kitato cha Sita bure, jamani nani kama mama Samia?”

Mkuu huyo wa Mkoa, alimaliza kikao hicho, kwa kuwahamasisha Wananchi kuchanja Chanjo ya UVIKO-19, ambapo wananchi wengi walijitokeza kuchanjwa  chanjo ya UVIKO-19 siku hiyo.



Mkuu wa  Mkoa wa Shinyanga Mh Sophia Mjema, akishuhudia Uchanjaji wa chanjo ya  UVIKO-19 Nyamilangano Ushetu

Matangazo

  • Matokeo ya usajili wa Madereva. October 03, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Angalia yote

Habari mpya

  • RC MACHA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI YA MWENGE HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 2024/2025

    May 20, 2025
  • USHETU KUANZA KUTEKELEZA MRADI WA REA NGAZI YA VITONGOJI 151.

    May 08, 2025
  • Habari Picha: Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu wakumbushwa kuhusu Maadili katika utumishi wa Umma

    May 07, 2025
  • Tume ya Maadili kwa watumishi wa Umma wafanya kikao na watumishi wa makao makuu Halmashauri ya Ushetu

    May 05, 2025
  • Angalia yote

Video

Kilimo cha Korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Video

Viunganishi vya haraka

  • Kanuni za Utumishi wa Umma
  • Ufafanuzi wa Serikali juu ya Kukosekana kwa Mawasiliano ya simu katika Halmashauri
  • Facebook
  • Ramani ya Halmashauri

Viunganishi Mfanano

  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Ajira serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Halmashauri

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

    Anuani: S. L. P 50 Kahama

    Simu: 0759888848

    Simu ya kiganjani: 0759888848

    Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa