Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu, Bi. Hadija Kabojela, Anayofuraha kuwatangazia Umma kuwa Matokeo ya Usaili wa waliomba kazi za Udereva kwenye Halmashauri ya Ushetu, sasa yapo wazi.
kwa Taarifa zaidi bonyeza hapa https://www.ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/66f/f4b/695/66ff4b695bfcc594246051.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0767639345
Simu ya kiganjani: 0767639345
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa