• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ushetu District Council
Ushetu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Maadili ya msingi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Strategic Plan
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Biashara na Fedha
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Takwimu,Mipango na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Land and Livestocks
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknoloji Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
    • Muundo wa halmashauri
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma
    • Bima ya Afya
    • Mitambo ya kutengenezea Barabara
    • Loan Services
    • Huduma za Afya
    • Education Services
    • Water Services
    • Huduma za Kilimo
    • Livestock Keeping Services
    • Huduma za Uvuvi
    • Human Resources Services
    • Huduma za Leseni za Biashara
    • Land Services
    • Forest Services
  • Madiwani
  • Miradi
    • Uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za maombi
    • Zabuni
    • Miongozo
    • Hotuba
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Uhifadhi wa picha
    • Video
    • Habari
    • Matukio

MAAGIZO YA MHE. HUSSEIN BASHE WAZIRI WA KILIMO KATIKA ZIARA YAKE NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU

Ilipo tumwa: September 16th, 2024


 

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe (MB) alifanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu tarehe 13 Septemba, 2024.

Katika ziara hiyo, Mhe. Bashe alitoa maagizo yafuatayo:

  • Eneo la shamba la Kisuke lipimwe na liandaliwe hati miliki.
  • Shamba la kisukue ligawiwe kwa Wananchi wa Halmashauri ya Ushetu na kipaumbele kiwe kwa Wananchi wa Kijiji cha Kisuke kwa ajili ya kilimo cha Pamba.
  • Barabara inayoenda Shambani ifunguliwe ili iweze kupitika kwa wakati wote.
  • Wananchi waanzishe ujenzi wa maboma ya nyumba za Maafisa Ugani, na Wizara ya Kilimo itatoa fedha za ukamilishaji wa Nyumba hizo
  • Halmashauri ya Ushetu iandae hati miliki ya eneo yatakapojengwa Maghala na itumwe wizara ya Kilimo kwa utekelezaji

Matangazo

  • Matokeo ya usajili wa Madereva. October 03, 2024
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 22, 2022
  • Angalia yote

Habari mpya

  • Ukaguzi wa Miradi ya maendeleo (shule za Msingi) umeendelea Ushetu.

    November 27, 2025
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA CHA KARANGA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA USHETU AHIMIZA USAFI,MAZOEZI UMOJA NA USHIRIKIANO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI

    November 21, 2025
  • Halmashauri ya Ushetu Yagawa Hati za Hakimiliki za Kimila kwa Wananchi wa Vijiji vya Igunda na Butibu.

    September 27, 2025
  • Angalia yote

Video

Kilimo cha Korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Video

Viunganishi vya haraka

  • Kanuni za Utumishi wa Umma
  • Ufafanuzi wa Serikali juu ya Kukosekana kwa Mawasiliano ya simu katika Halmashauri
  • Facebook
  • Ramani ya Halmashauri

Viunganishi Mfanano

  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Ajira serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Halmashauri

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

    Anuani: S. L. P 50 Kahama

    Simu: 0767639345

    Simu ya kiganjani: 0767639345

    Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa