Maadhimisho ya miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, yamefanyika kwa ngazi ya Halmashauri, katika makao makuu ya Halmashauri ya Ushetu, Ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Ndugu Lino P. Mwageni amewaongoza watumishi pamoja na wananchi wa kata Nyamilangano kufanya usafi wa Mazingira.
Kwa taarifa zaidi tizama picha hapa https://www.ushetudc.go.tz/single-gallery/maadhimisho-ya-siku-ya-muungano-26-april-2022
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa