Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Anapenda kuwatangazia Wananchi wote, Taasisi binafsi na za Serikali, kuwa Halmashauri Inauza Viwanja vilivyopimwa kupitia Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha.
Kwa taarifa zaidi soma hapa https://www.ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/654/354/d1e/654354d1e0edb321893594.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0767639345
Simu ya kiganjani: 0767639345
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa