Kufuatia Tangazo la ajira lenye Kumb. Na. UDC/L.40/08/31 la tarehe 17 Machi 2022, lililotoa nafasi za kazi , Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi hizo na kukidhi vigezo kufika kwenye usaili tarehe 10 Mei 2022 saa 3:00 asubuhi, katika Ukumbi wa Hospitali ya Halmashauri uliopo Makao Makuu ya Halmashauri , Nyamilangano.
kwa taarifa zaidi bofya hapa https://ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/627/8a4/5cb/6278a45cb4bcb995976141.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa