Ilipo tumwa: April 16th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, anapenda kuwatangazia Wananchi wote juu ya uuzaji wa viwanja kwa ajili ya makazi na uwekezaji wa viwanda vidogo.
Kwa taarifa zaidi, bonyeza hapa  ...
Ilipo tumwa: April 3rd, 2025
SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha ...
Ilipo tumwa: March 25th, 2025
Shirika lisilo la Kiserikali la Tanzania Health Promotion Support (THPS) kwa kushirikiana na Mkrugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu, Linapenda kuwatangazia Umma juu ya nafasi za Kazi katika viten...