Ilipo tumwa: January 28th, 2026
Januari 27, 2026.
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Kata mbalimbali za Halmashauri...
Ilipo tumwa: January 30th, 2026
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu, anawataarifu waombaji wote waliomba nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa bodi ya ajira, na kukidhi vigezo, wafike kwa ajili ya usaili tarehe 06 Feb,2026.
kwa t...
Ilipo tumwa: January 14th, 2026
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu, Bi. Hadija Kabojela, anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wote wenye sifa za kufanya kazi, amnao pia ni wakazi wa ushetu, kuomba nafasi za kazi ya ...