Meneja Masoko wa Kampuni ya TIGO kanda ya Ziwa Ndg. Ally Mashauri akimtua Ndoo ya Maji Mkazi wa kijiji cha Ulowa namba 4 Wilayani Ushetu mkoani Shinyanga Tatu Kapembe., wakati wa uzinduzi wa kisima cha maji Kijijini hapo. Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu inapenda kuipongeza kampuni ya TIGO kwa kuendelea kutoa kusaidia huduma za maendeleo ya jamii.
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: 0759888848
Simu ya kiganjani: 0759888848
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa