• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ushetu District Council
Ushetu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Maadili ya msingi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Strategic Plan
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Biashara na Fedha
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Takwimu,Mipango na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Land and Livestocks
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknoloji Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
    • Muundo wa halmashauri
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma
    • Bima ya Afya
    • Mitambo ya kutengenezea Barabara
    • Loan Services
    • Huduma za Afya
    • Education Services
    • Water Services
    • Huduma za Kilimo
    • Livestock Keeping Services
    • Huduma za Uvuvi
    • Human Resources Services
    • Huduma za Leseni za Biashara
    • Land Services
    • Forest Services
  • Madiwani
  • Miradi
    • Uwekezaji
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za maombi
    • Zabuni
    • Miongozo
    • Hotuba
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Uhifadhi wa picha
    • Video
    • Habari
    • Matukio

Banki ya NMB Yaleta Neema Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu.

Ilipo tumwa: October 6th, 2020

Banki ya NMB wilayani Kahama, imetoa msaada wa Vitanda vya wagonjwa nane (8), na mashuka ishirini na tano (25), katika Hospitali ya Wilaya ya Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, vyenye thamani ya jumla ya fedha Tsh. Milioni tano (5,000,000/=), Ikiwa ni Mchango wao katika kuboresha huduma za Afya kwa wakazi wa Ushetu.

Akizungumza katika hafla hiyo fupi iliyofanyika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ushetu, leo tarehe 6 Oktoba, 2020, Afisa rasilimali watu mkuu wa Banki ya  NMB, ndugu Emmanuel Apolonari, amesema wao kama sehemu ya jamii na wadau wakubwa wa maendeleo, wanayo fahari kuendelea kuwa karibu Zaidi na jamii hasa kwa kuchangia maendeleo ya jamii hususani katika sekta ya afya.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Anamringa Macha, akipokea msaada huo, amewashukuru Banki ya NMB kwa msaada huo na kuwapongeza kwa mchango wao mkubwa kwa jamii, vile vile ameahidi kuendelea kushurikiana vyema na Banki ya NMB ili kuleta maendeleo yenye tija kwa wakazi wa Kahama na Watanzania wote kwa ujumla.

Katika hatua nyingine, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu, ndugu Michael Augistine Matomora, amewashukuru  Banki ya NMB kwa msaada huo, na kuahidi kuvitunza na kuhakikisha vinatumika katika matumizi sahihi ili kuwapatia huduma bora Wananchi wa Ushetu.

Hospitali ya Wilaya ya Ushetu, yenye Majengo saba (7), ambayo ni Jengo la Wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la Utawala, jengo la dawa (Pharmacy), jengo la Kufulia (laundry), jengo la Mionzi, jengo la Maabara, na Jengo la Wazazi, ilianza kutoa huduma mnamo mwezi Juni 2020, ambapo takribani wagonjwa Elfu 80 wamepatiwa huduma katika Hospitali hiyo.

Matangazo

  • Eneo la Kiutawala Tarafa,Kata,Vijiji na Vitongoji January 08, 2020
  • TANGAZO LA KAZI. August 27, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. September 18, 2020
  • Tangazo la Uchaguzi. October 20, 2020
  • Angalia yote

Habari mpya

  • Matukio katika Picha, Siku ya Maadhimisho ya UKIMWI Duniani kwa Mkoa wa Shinyanga.

    December 02, 2020
  • Banki ya NMB Yaleta Neema Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu.

    October 06, 2020
  • huduma za maji katika Halmashauri ya Ushetu

    October 01, 2020
  • Uboreshaji wa huduma ya Maji katika Halmashauri ya Ushetu

    October 01, 2020
  • Angalia yote

Video

Kilimo cha Korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Video

Viunganishi vya haraka

  • Kanuni za Utumishi wa Umma
  • Ufafanuzi wa Serikali juu ya Kukosekana kwa Mawasiliano ya simu katika Halmashauri
  • Facebook
  • Ramani ya Halmashauri

Viunganishi Mfanano

  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Baraza la Mitihani
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Ajira serikalini

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Halmashauri

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu

    Anuani: S. L. P 50 Kahama

    Simu: +255282710110

    Simu ya kiganjani: +255757625882

    Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa