Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, anawatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa ya kuajiliwa katika nafasi ya Mtendaji wa Kijiji lll.
Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa http://ushetudc.go.tz/storage/app/uploads/public/5f4/f5b/a18/5f4f5ba180d5b247999402.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: +255282710110
Simu ya kiganjani: +255757625882
Barua pepe: ded@ushetudc.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa